MUziki

 NGOMA KALI KUTOKA KWA MSANII ANAYEKUJA KWA KASI 
NGOMA INAITWA ZUNGUCHA AMEIMBA Ton voice ft Njiwa comedian
https://audiomack.com/song/ramadinhojr/prod-by-zinja-smm


#KIGOMA: Msanii wa muziki wa Bongofleva aitwaye Clayton Chipando alimarufu kama BABA LEVO ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini (ACT_Wazalendo) manispaa ya Kigoma ujiji ,amefikishwa Mahakamani na kupandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Kigoma akikabiliwa na mashtaka matatu, ambayo ni (1).Kutoa lugha ya matusi (2).Kumpiga muuguzi (3).Kufanya fujo katika Zahanati ya Msufini iliyopo Kata ya Mwanga Kaskazini.
Msanii huyo alitenda makosa hayo Aprili 12 ,2018 akiwa katika Zahanati hiyo.

Comments

Popular posts from this blog