Wasanii

MSANII WA COMEDY NCHINI TANZANIA 

Kibajaj comedian anawatakia mwezi mwema wa ramadhan 
Pia ameomba Watanzania tusikilize muongozo wa viongozi wetu kuhusu janga ili la corona 
 




TUNAKUKUMBUKA DAIMA MZEE WETU MAJUTO




InshaAllah upumzke kwa aman Mzee wetu King Majuto
Tulikupenda ila Mungu alikupenda zaid
Allah akupe kaul thabit Alhaj Amr Athuman





MZEE MAJUTO AMESAFIRISHWA LEO

Muigizaji na Mchekeshaji maarufu hapa nchini KING MAJUTO amesafirishwa kwenda nchini India kufanyiwa matibabu ya tatizo linalomsumbua.
Amesafirishwa Leo ,Ijumaa tarehe 4/5/2018.
Andika neno la kumuombea na kumtakia matibabu mema Mzee wetu (King Majuto) ili afya yake iimalike.

Comments

Popular posts from this blog